Magaidi wajisalimisha uko Nangade kutokana na njaa
20 May, 2022
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado halamisi hii mei 20,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.
🔸Magaidi wajisalimisha uko Nangade kutokana na njaa.
🔸Ukaguzi wa polisi utachunguza ukiukaji wa aki huko Macomia.
🔸Alitekwa washukiwa wa ugaidi katika kisilua cha Quirimba.
Endelea kuapata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye Whatissap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya Kireno, Emakwa ,Shimakknde,Kimuani au kishahili.
Plural Media habari kwa Lugha yako.