Magaidi wa wamewaua watu Watatu wilaya ya Ancuabe
20 October, 2022
Abari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 20 oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Mambo muhimu kwa sasa.
🔸Magaidi wa wamewaua watu Watatu wilaya ya Ancuabe.
🔸Wananchi wanakosoa usimamizi wa mji wa Pemba.
🔸ADIN bado haijatowa matokeyo katika Cabo Delgado.
Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,Telgram na program yoyote ya podcast.
Pata habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +2588432857766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa:https://iono.fm/1237536.
Plural Media habari kwa lugha yako.