Magaidi tena wasababisha vifo huko Nangade
5 May, 2022
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamisi hii mei 5,2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo.
🔸Magaidi tena wasababisha vifo huko Nangade.
🔸PMA inapunguza mpango wa watu waliohamishwa makazi yao.
🔸Mawakala wa PRM wapiga risasi wachimba migodi huko Montepuez.
Endelea kupata habari kutoka Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podecast.
Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au Kishahili.
Plural Media habari kwa lugha yako