Magaidi Saba wameuawa kwa kupigwa risasi na Jeshi la wenyeji wilayani Nangade
21 June, 2022
Karibu kwenye Sauti ya Cabo. Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Juni 21,2022.
🔸Mashambulizi Mapya yamesajiliwa katika Wilaya ya Ancuabe.
🔸Chuo cha wanawake chinatowa wito wa kukomechwa kwa unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana huko Cabo Delgado.
🔸Magaidi Saba wameuawa kwa kupigwa risasi na Jeshi la wenyeji wilayani Nangade.
Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye Wahatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde Kimuani au kishuaili.
Plural Media habari kwa lugha yako.