Magaidi na Majeshi wausika na moto nkali uko Pundahari

12 July, 2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo DelgadoJumanne hii julai 12,2022.

🔸Magaidi na Majeshi wausika na moto nkali uko Pundahari.

🔸Meluco iliyoathiriwa mashambulizi mapya mawili ya kigaidi.

🔸Zaidi ya miche 200.000 ya korosho inaweza kupoteya katika kitalu cha Nanduli.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avo.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,shimakonde,kimuani,au kishahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down