Magaidi 7 zaidi wauawa kiganjani
22 February, 2022
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Jumaene fabruari 22.2022.
Katika mada ya Leo.
🔸Silaha zilizokamatwa njiani kuelekea Nampula.
🔸Magaidi 7 zaidi wauawa kiganjani.
🔸Watu waliokimbia makazi yao bado wanatafuta wanafamilia waliotekwa na magaidi.
🔸Mashambulizi mapya yamerecodia huko Nangade.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za sauti za kusikika.ong au kurasa wetu wa Facebook cheneli ya telegram na popote unapopata podcast yako.
Unaweza kupokea habari kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.