Madakitar wasiona na mipaka wanasema hali katika Cabo Delgado si mzuri.
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo tarehe 28,Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 Madakitar wasiona na mipaka wanasema hali katika Cabo Delgado si mzuri.
🔸 Imenunuliwa ndege mpya ya kazi nyngi huko Cabo Delgado.
🔸 Rais Nyusi anazumgzia ugaidi katika umoja wa Mataifa.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza pia kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno, kimakuwa,kimakonde,kimuani,na kiswahili.
Plural Média habar Kwa lugha yako