Macomia na Muidumbe ziliendelea kukumbwa na ukosefo wa usalama katika nusu ya mwisho wa Julay

15 August, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.Agasti 2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Majeshi yanakabiliwa na mashambulizi mapya katika eneo lá Ndani ya wilaya ya Macomia.

🔸 Mozambique na Kenya wanaimarisha ushirikiano wa Kijeshi kukomesha ugaidi.

🔸 Macomia na Muidumbe ziliendelea kukumbwa na ukosefo wa usalama katika nusu ya mwisho wa Julay.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down