Kwa msaada wa benk ya Dunia , serikali itafadhili miradi 500 ya vijana

18 July, 2023
Foto: SADC on Twitter

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18,Júlai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Misheni ya Kijeshi ya SADC Huko Cabo Delgado wataka tena hadi Júlai mwaka ujao .

🔸 Kwa msaada wa benk ya Dunia , serikali itafadhili miradi 500 ya vijana.

🔸 Wazir wa Biashara za wageni na ushirikiano Anaomba msaada zaidi wa kibinadamu.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down