kuondolewa Kwa kampuni ya Pluxus mji Pemba kunawaweka wakulima 50.000 Huko Cabo Delgado hatarini

30 May, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado, tarehe 30,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 kuondolewa Kwa kampuni ya Pluxus mji Pemba kunawaweka wakulima 50.000 Huko Cabo Delgado hatarini

🔸 Merekani imetoua dola milioni 2 kuboresha Balabala R698 katika Cabo Delgado.

🔸 Majeshi wamewaua magaidi watano katika wilaya ya Nangade.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down