Kundi la magaidi lavamia tena Mocimboa da praia kutoka ufukweni tena
14 July, 2022
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii julai 14,22.
🔸Kundi la magaidi lavamia tena Mocimboa da praia kutoka ufukweni tena.
🔸Zaidi ya walimo 100 walirijea katika wilaya ya Palma.
🔸INGD inahakikisha msaada kwa watu waliokimbia makazi yao ambao tayari wanalalamika kuhusu ukosefu wa usaidizi.
Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoak kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa Shimakonde,kimuani au kishahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.