Kumerejea tena usindikizaji wa laiya kwenye barabara inayounganisha makao makuu ya Macomia na Awasse.
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Agosti 09,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo:
🔸 Nkuu wa wilaya ya Balama anafafanua kuwa vijana waliokamatwa wiki iliopita sio magaidi.
🔸Kumerejea tena usindikizaji wa laiya kwenye barabara inayounganisha makao makuu ya Macomia na Awasse.
🔸Mamlaka yafunguwa tena vituo 34 vya afya vilivyoshambuliwa na magaidi.
Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Média habari kwa lugha yako.