Kuchumwa kwa Mili na Jeshil lá SAMIM Huko Cabo Delgado kunawezekana kusiwe Wazi kulingana na CDD
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 05 Septemba,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Kuchumwa kwa Mili na Jeshil lá SAMIM Huko Cabo Delgado kunawezekana kusiwe Wazi kulingana na CDD
🔸 Wazili Mpya wa Polisi lazima aimarishe na mapambano dhidi ya ugaidi na uhalifu wa kupangwa
🔸 Mji wa Pemba utakuwa na mfumo Mpya usambazaji wa maji ifikapo mwisho wa mwaka.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.