Kiongozi wa kigaidi auawa wa Mocimboa da Praia.
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 02,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado.
Zifuatazo ni mahada za habari.
🔸Shambulio la kigaidi laua watu sita huko Meluco.
🔸Kiongozi wa Total anasema kwanza tena uchanguzi wa Gesi huko Palma kunategemea usalama.
🔸Kiongozi wa kigaidi auawa wa Mocimboa da Praia.
🔸Mpaka mkubwa wa kati ya Msumbiji na Tanzania unafanya kuwa vigumu kuudhibiti magaidi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.