Kikosi cha pili cha África Kusini kimefika Cabo Delgado

11 May, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 11,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Madai ya kutoka Wanajeshi wilaya ya Mocimba da praia kunawatia wasiwasi wafanyabiashara.

🔸 Kikosi cha pili cha África Kusini kimefika Cabo Delgado.

🔸 Nkuu wa majeshi wa Jeshi la Mozambique ametembela vikosi vya usalama vya Rwanda.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258842385766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down