Kikosi cha Namparama kinatuhuniwa kuwanyanyasa na kotoheshimu raia wa Namuno

8 December, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 08 Desmba 2022, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na mradi wa Cabo ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Watu wanaoshukiwa kuwa magaidi wamefungwa mji wa Pemba.

🔸 Kikosi cha Namparama kinatuhuniwa kuwanyanyasa na kotoheshimu raia wa Namuno

🔸 Kwa sababu ambazo bado azijajulikana askari wa Botswana amewapiga risasi wenzake wawili.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kimakuwa,kimakonde kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habri kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down