Karibu miaka mitatu badaye, wavuvi kurudi katika shuguli zao za uvuvi huko Mukojo

29 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 29,Novemba.2022 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Watu watano wamikatwa vichwa katika wadhifa wa utawala wa Nairoto wilaya ya Montepuez.

🔸 Karibu miaka mitatu badaye, wavuvi kurudi katika shuguli zao za uvuvi huko Mukojo.

🔸 Selekali tayari imewasilisha bungeni nia ya kuhalalisha Jeshi la Ndani.


Pata habri za Cabo Delgado kupitia kirasa zetu za facebook,telgram na program ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa: https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down