Kampuni ya watu Binafsi inashutumiwa Kwa ubadhirifu wa pesa za usaidizi wa kibinadamu Huko Cabo Delgado
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 22,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Kampuni ya watu Binafsi inashutumiwa Kwa ubadhirifu wa pesa za usaidizi wa kibinadamu Huko Cabo Delgado.
🔸 Msumbiji ivi karibuni na Tanzania watafunguwa mpaka Huko Namoto wilaya ya Palma.
🔸 Majeshi na vikosi vya Namparama watafikia kwenye makubariano Huko Salaue wilaya ya Ancuabe.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.
Plural Média habari Kwa lugha yako.