Kampuni ya ulinzi ya kibinafsi ya Rwanda wanagombea nafasi kwenye kampuni ya gesi kaskazini mwa Msumbiji

28 February, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 28,februari,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Kampuni ya ulinzi ya kibinafsi ya Rwanda wanagombea nafasi kwenye kampuni ya gesi kaskazini mwa Msumbiji.

🔸 Wakulima elfu nane waliokimbia makazi Yao wananufaika na mifumo 2.500 ya umwagiliaji uko Cabo Delgado.

🔸 Wanajeshi wengine 300 wa Rwanda wamewasili Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram,na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza pia kupata habari izi kupitia whatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down