Kambi ya vikosi vya Africa kusini vimishambuliwa na magaidi
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Kambi ya vikosi vya Africa kusini vimishambuliwa na magaidi.
🔸 Raia amepigwa risasi na majeshi ya Rwanda baada ya kudaiwa kuwa gaidi.
🔸 Wanagambo wa Mueda wamipokea chakula.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.