Jeshi lá serekali ya kisasanga watumishi wa umma kurudi kazini

14 April, 2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 14,2022.

🔸Hali ya usalama inazidi kuwa mbaya wilayani Nangade.

🔸Idade ya vifo vilivyosababiswa na magaidi huko Cabo Delgado imepunguzwa kwa nusu.

🔸Jeshi lá serekali ya kisasanga watumishi wa umma kurudi kazini.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za avoz.org ou kutoka kwa kurasa zetu za facebook,chenel ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habar kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down