Jeshi la anga la Zambia latenga ndege kwa vifaa vya SAMMIM huko Cabo Delgado

15 February, 2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 15,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni mahada za habari.

🔸Jeshi la anga la Zambia latenga ndege kwa vifaa vya SAMMIM huko Cabo Delgado.

🔸Wazir wa ulinzi anasema magaidi waliokamatwa tayari wanashilikiana na vikosi vya ardhini.

🔸Shirika la save the children linasema limesikitishwa na kukatwa vichwa na kutekwa nyara kwa watoto huko Cabo Delgado.

🔸Serekali ya Cabo Delgado inatambua jukumu la CDD katika kukuza haki za binadamu.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down