Idadi ya watu wanaomba kurejeya uduma wilaya ya Quissanga na Metuge

10 August, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 10, Agasti 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Zaidi ya Milioni 15 zitatolewa Kwa ajili ya makampuni ya kaskazini Huko Mozambique.

🔸 Kampuni ya Montepuez Ruby Maning itaongeza mchakato wa Ruby.

🔸 Idadi ya watu wanaomba kurejeya uduma wilaya ya Quissanga na Metuge.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down