Idade ya watu wa Vijiji vya Muidumbe wakimbia kutokana na Mashambulizi ya Magaidi

1 November, 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 01.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Kwasasa vichwa via Habari:

🔸 Magaidi Waua tena Cabo Delgado

🔸 Mtu momja auwauwa wakati wa Mandamano Katika Mji wa Montepuez

🔸 Idade ya watu wa Vijiji vya Muidumbe wakimbia kutokana na Mashambulizi ya Magaidi.


Pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast , au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz .org

Unaweza pia kusikiliza habari izi vituo vya Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down