Idade ya watu wa Palma wanataka ufungoliwe tena mpaka

24 January, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 24,januari,2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na mradi wa Cabo ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Video ambayo wanajeshi walichoma Maiti ilirekodiwa wilaya ya Nangade.

🔸 Magaidi wamijisalimisha katika wilaya ya Nangade.

🔸 Idade ya watu wa Palma wanataka ufungoliwe tena mpaka.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za Kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno,kimakonde,kimakuwa,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down