Idade ya watu wa Mocimboa da Praia inashusha thamani ya mamlaka ya Msumbiji

11 April, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 11, April 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

🔸 Idade ya watu wa Mocimboa da Praia inashusha thamani ya mamlaka ya Msumbiji.

🔸 Imehalalishua Amri ya vikosi vya ndani.

🔸 CDD inashutumu makampuni ya uchimbaji Madini Kwa kutochangia kuboresha maisha ya Jamii huko Montepuez.


Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa Zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari Zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata pia habari izi kupitia WhatssAp kila siku ya Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down