Hospitali 23 kati ya 34 zilizoharibiwa na magaidi zimerejea kufanya kazi

19 December, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe,19.12.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Mchakato wa makazi mapya huko Quitunda unaanza siku chache zijazao

🔸 MSF inazingatia kuwa hali katika Cabo Delgado bado haijawa shwari

🔸 Hospitali 23 kati ya 34 zilizoharibiwa na magaidi zimerejea kufanya kazi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down