Graça Machal anatetea mipango jumuishi huko Cabo Delgado

12 April, 2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi,April 12,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Graça Machal anatetea mipango jumuishi huko Cabo Delgado.

🔸Kijana huko Cabo Delgado akiwa na mtoto mdogo wa miezi 6 ambaye alibakwa na magaidi.

🔸Rais wa MDM anasema kuwa mtazamo wa kijeshi hautamaliza mzozo wa Cabo Delgado.

Emdela kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za avoz.org,chenel ya telgram,na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha kireno,Shimakonde,Kimuani,au Kishuali..

Plural media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down