Gavana wa Nampula amewaomba wakimbizi wasirudi Cabo Delgado.

11 August, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado, mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado, Alhamissi hii Agosti 11, 2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo:

🔸 Mili mitatu ilipatikana bila uhai kwenye ukingo wa Mto Messalo.

🔸Gavana wa Nampula amewaomba wakimbizi wasirudi Cabo Delgado.

🔸 Hali ya Cabo Delgado inakuwa nzuli amesema waziri wa ulinzi.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org ama kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya Podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha chagua lugha yako kati ya Kireno, Kimakuwa, Kimakonde, Kimwani imuani na Kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down