Família zakimbia Muidumbe kutokana na ukosefu wa usalama

16 November, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Família zakimbia Muidumbe kutokana na ukosefu wa usalama

🔸 Shambulizi Jipya Laua watu wanne katika eneo la inguri wilaya ya Muidumbe

🔸 Wakurima wa wilaya ya Palma bado hawana mbengu Kwa msimu huu wa Kilimo.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down