CABO DELGADO: Magaidi wanatishia kushambulia siku zijazo

10 January, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 10.Januari.2023 sauti ya Caobo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸Jimbo la Cabo Delgado inaendelea kufanhya operasheni kwa nguvu.

🔸Wakimbizi waliokimbilia Niassa wanakataa kujenga na watataka kurudi Cabo Delgado.

🔸Magaidi wanatishia kushambulia siku zijazo.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down