Bernadino Rafael athibitisha kifo cha maafisia wa polisi Huko Quirimbas
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.03.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Kutoka Kwa SAMIM kunapendelea magaidi, asema mtalamu
🔸 Achilia watu waliotekwa nyara na magaidi huko Metuge
🔸 Bernadino Rafael athibitisha kifo cha maafisia wa polisi Huko Quirimbas.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.