Barua inayodaiwa Kutoka Kwa magaidi kuhusu shambolio la Mocimboa da Praia inawatia wasiwasi wanaorejea

20 June, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20.Juni.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Barua inayodaiwa Kutoka Kwa magaidi kuhusu shambolio la Mocimboa da Praia inawatia wasiwasi wanaorejea .

🔸 Zaidi ya watu elfu 1.300 walikufa shambulio la Palma mnamo 2021 inaonyesha utafiti.

🔸 Misri inaahidi mafunzo zaidi Kwa vikosi maalum vya khuthibi ugaidi Huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down