Baraza la ulizi la taifa na hifadhi ya Jami inahidi njia zaidi za kupambana na ugaidi uko Cabo Delgado

16 May, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

Wazir wa mambo ya Ndani amesisitiza kuwa mpaka wa na moto unafunguliwa mwaka huu.

🔸 Kituo cha ukuzaji cha Cabo Delgado bado awajafanya

🔸 Chochote katika heka elfu 12 waliozopokeya wilaya ya Palma.

🔸 Baraza la ulizi la taifa na hifadhi ya Jami inahidi njia zaidi za kupambana na ugaidi uko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258842385766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down