Balaza la kiislamu linajiweka mbali na malengo ya vijana 15 waliokamatwa mji wa Pemba

19 January, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 19,Januario,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo ligado.

🔸Balaza la kiislamu linajiweka mbali na malengo ya vijana 15 waliokamatwa mji wa Pemba.

🔸Chui afanya mwathirika mbaya katika kijiji cha Mocimboa da Praia.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536
Plural media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down