Bado mapema kwa jeshi la polisi kupambana na ugaidi mchini
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 01,Desemba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 Mwanajeshi wa Botswana amefariki akiwa kwnye misheni ya SADC uko Nangade.
🔸 Bado mapema kwa jeshi la polisi kupambana na ugaidi mchini.
🔸 Imefunguliwa tena bandali ya Mocimboa da Praia.
Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za fecebook,telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536
Plural media habari kwa lugha yako.