Askofu wa Pemba aomba kutohasahau waliohama huko Cabo Delgado

3 May, 2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei,03,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Askofu wa Pemba aomba kutohasahau waliohama huko Cabo Delgado.

🔸Uhamiaji uko Cabo Delgado unalalamika ukosefu njia za kisiasa.

🔸Uganda inapatikana kusaidia kupigana ugaidi uko Cabo Delgado.

Endeleya kupata habari kutoka Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu da Fecebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766,kisha uchague lugha yako Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au Kiswahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down