ADIN Atangaza ujenzi wa nyumba 300 Marocane

23 August, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Gavana wa Cabo Delgado Apeleka mifuko ya saruji Kwa wajama waliokimbia vita

🔸 Umoja wa ulaya wapeleka salamu, Kwa matokeyo ya kukomesha ugaidi

🔸 ADIN Atangaza ujenzi wa nyumba 300 Marocane.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down