Mashababi wenguila mali kwa kuhifadhiwa wolaya na wandangula

9 May, 2025

Salama piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 09.05.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média

Viswa vikulu vya habari ndivi:

🔸 Mashababi wenguila mali kwa kuhifadhiwa wolaya na wandangula

🔸 Japão ilavya nzuluco zaidi ya milião 190 za meticagi para nsada Cabo Delgado

🔸 Madjeshi wa Ruanda wolaiwa na mashababi Cabo Delgado.


Mpodi kusikiliza habari ezi kwa lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimuani ema Kimakonde. Tumila ukurasa wa avoz.org ili utondole lugha ya usaka ema kwa njila za WhatsApp na Telegrama.

Tifika mwisho ya habari ya mpango wa lelo mu Shauty ya Cabo Delgado. Zidini kupata habari ezi kwa njila ya ukurasa wa Facebook, WhatsApp, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org

Intro text in Kimawani

Lorem ipsum

Za kufyomiwa pakula

magnifierchevron-down