Magaidi wamefanya mashambulizi mapya wilaya ya Namuno.

Habari gani,karibu kwenye toleo la ssuti ya Cabo Delgado tarehe 03,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushrikiana na mradi wa Cabo Ligado.
3 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la ssuti ya Cabo Delgado tarehe 03,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushrikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Mambo muhimu kwa sasa.

🔸 Mwandishi wa habari na mwanaharakati Arlindo chissale kutoka pinnecle news amefungwa huko wilaya ya Balama.

🔸 Magaidi wamefanya mashambulizi mapya wilaya ya Namuno.

🔸 Zaidi ya watu elfu thelathini na tano tayari wamerejea kwa hiari katika vijiji kadhaa vya mocimboa da praia.

Pata habar za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +28843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakinde,kimuani,na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Intro text in Kimawani

Lorem ipsum

Za kufyomiwa pakula

magnifierchevron-down