Madjeshi wa Moçambiqui na Ruanda wakubomola kambi za mashababi Magomia
Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 07.08.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.
Viswa vikulu ya habari ndivi:
🔸 Madjeshi wa Moçambiqui na Ruanda wakubomola kambi za mashababi Magomia
🔸 Comandanti nkulu wa mapuliciya kalebela msamaha kwa uchaputhu wa wanu ulinzi
🔸 Wakazi wa sirikali Chiúri wangali watilile vita
Zidini kiphata habari za mana za Cabo Delgado kwa njila ya ukurasa wa Facebook, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org
Sikilizani habari kamba ezi kwa lugha djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila Jummane na Alkhamisi kwa kutumila +258 843285766 ncaty ya lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimakonde, Kimuani na Kiswahili ama Kijojo.
Plural Média-Habari kwa lugha yenu.