Kwenenda ka mashababi kwankwengeza offu Ancuabe

2 July, 2024

Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 02.07.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.

Viswa vikulu ya habari ndivi:

🔸 Kwenenda ka mashababi kwankwengeza offu Ancuabe

🔸 Sirikali ya Metuge aina nzuluco para kuwasaidiya wakimbizi

🔸 Nguvu za kumaliza mashababi zankuka mbele keleza raisi wa inti.


Zidini kiphata habari za mana za Cabo Delgado kwa njila ya ukurasa wa Facebook, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org

Sikilizani habari kamba ezi kwa lugha djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila Jummane na alhamisisi kwa kutumila +258 843285766 ncaty ya lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimakonde, Kimuani na Kiswahili ama Kijojo.

Plural Média-Habari kwa lugha yenu

Intro text in Kimawani

Lorem ipsum

Za kufyomiwa pakula

magnifierchevron-down