Kissimana kafariki baada ya kuluwata mina Mocimboa da praia

18 June, 2024

Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 18.06.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.

Viswa vikulu ya habari ndivi:

🔸 Kissimana kafariki baada ya kuluwata mina Mocimboa da praia

🔸 Mgombezi wa chama FRELIMO Daniel Chapo akwamini kamba ushababi ukwissa

🔸 Suécia ingali na niya ya kusaidia Moçambiqui kwa kumaliza ushababi.


Zidini kiphata habari za mana za Cabo Delgado kwa njila ya ukurasa wa Facebook, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org

Sikilizani habari kamba ezi kwa lugha djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila Jummane na alhamisisi kwa kutumila +258 843285766 ncaty ya lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimakonde, Kimuani na Kiswahili ama Kijojo.

Plural Média-Habari kwa lugha yenu

Intro text in Kimawani

Lorem ipsum

Za kufyomiwa pakula

magnifierchevron-down