Kamati ya majeshi yankulingilila kuhusu kifo cha ntenda biachara

12 July, 2024

Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 12.07.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.

Viswa vikulu ya habari ndivi:

🔸 Madjeshi wane wolaiwa na wananchi wa Magomia

🔸 Kamati ya majeshi yankulingilila kuhusu kifo cha ntenda biachara

🔸 Zaidi ya 20% ya wali watete wafika kulombiwa


Zidini kiphata habari za mana za Cabo Delgado kwa njila ya ukurasa wa Facebook, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org

Sikilizani habari kamba ezi kwa lugha djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila Jummane na alhamisisi kwa kutumila +258 843285766 ncaty ya lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimakonde, Kimuani na Kiswahili ama Kijojo.

Plural Média-Habari kwa lugha yenu

Intro text in Kimawani

Lorem ipsum

Za kufyomiwa pakula

magnifierchevron-down